wengine 18 wafariki kwa ebola DRC

Shilika la afya duniani WHO limesibitisha watu 18 kufa kwa ebola DRC tangu ugonjwa huo kuzuka

majuma kadhaa nyuma kulikuwa na uvumi.kuhusu ebola lakini reo imesibitishwa kuwa watu wamefariki

ebola ilisha wai sababisha vifo zaidi ya watu 200 nchini DRC miaka kadhaa iliyopita ambapo sasa umezuka tena


Post a Comment

Previous Post Next Post