shule moja nchini uingereza imefikilia kuwaruhusu wanafunzi wa kuime kuvaa sketi shuleni
shule hiyo iliyopo london ambayo ni ya kibinafsi imesema endapo shelia mpya itapita basi wavurana nao watakuwa huru kuvaa sketi shuleni
wamefikia mbali na kusema hata vyoo wanafikilia wanafunzi watumie bila kujari kinsia yao wote watatumia pamoja
Tags
Entertaiment