shilikisho la mpira wa miguu nchini uingereza FA lasema watakao jirusha wataadhibiwa
hatua hiyo imekuja baada ya wachezaji kuwa na tabia ya kutafuta penati kwa kujiangusha au kutafuta faulo
wachezaji wengi wamekuwa natabia hiyo na huu utakuwa msumari kwao maana watakumbwa na adhabu ambayo bado haija bainishwa
Tags
Michezo