serilikali ya marekani yaituhumu syria kwa kuwachoma moto wafungwa

serikali ya marekani yaituhumu syria kwa kuwachoma moto maelfu ya wafungwa katika gereza la lijeshi nchini humo

marekani imeonesha picha za satelite zinazoonesha sehemu ambapo hutumika kuwachoma moto wafungwa kilasku katika gereza hilo

inaaminika kuwa wafungwa zaid ya 50 hunyongwa katika gereza hilo kila wiki na miili kuchomwa ili kuficha ushahidi

tangu kuanze vita nchini humo maelfu ya wapinzani wamekamatwa na kuuawa na wengine kupoteza viungo vyao kutokana na mateso makari


Post a Comment

Previous Post Next Post