polisi kuwahusisha wananchi epelelezi kibiti

polisi.mkoani pwani imesema inataka kuwa tumia raia kuwabaini wauaji katika maeneo ya kibiti mkoani pwani

polisi imesema ikigundua kuwa kuna raia wanawaficha wauwaji watakumbana na mkono wa sheria kwakuwa wanaamini waalifu wanaishi karibu na raia

atua hiyo imekuja baada ya kutokea kwa mauaji ya kila mara ambapo majuzi mtu mmoja aliuawa kwa kupigwa risasi nne

kufuatia mauaji yanayo endelea mbunge wa kibiti nae amesema anashindwa kusema chochote kwa kuwa na yeye ni raia na anahofia uhai wake kma watu wengine pia


Post a Comment

Previous Post Next Post