katika uchunguzi ulio fanywa umebaini kuwa nchi za karebian huongoza kwa uharifu duniani
utafiti huo umebaini visa vya mauaji katika nchi hizo ni vikibwa huku watu wengi wakiwa wamepoteza ndugu zao kutokana na uharifu
nchi hizo ambazo kimaendereo zipo chini lakini kimatukio ya uharifu zinaongoza ikiwemo jamaika pia
Tags
Kimataifa