meya wa jiji la arusha na waandishi wa abari wakamatwa na polisi reo.mjini arusha miongoni mwa walio kamatwa ni
janet mushi-mtanzania
godfrey thomas-ayo tv
filberty rugemamu-mwananchi
husein tuta-itv
joseph ngilishi-sunrise radio
geofrey -radio 5
zefania ubwan-the citizen
elhuruma yoan-tanzania daima
mpaka sasa haijaereweka chanzo cha kukamatwa kwao ufatiliaji unaendelea
Tags
Kitaifa