mbunge kibiti aofia uhai wake

mbunge wa jimbo kibiti ally ungando (ccm) amesema anashindwa kusema chochote kuhusu mauaji kibiti kwakuwa ana hofia uhai wake pia

mbunge huyo alisema hivyo kwakuwa kibiti saivi kuna mauaji ya kila mara na yeye akiwa binadamu pia anahofia uhai wake kutokana na matukio yanayo endelea

hivi majuzi kada wa ccm aliuawa kwa kupigwa lisasi na watu wasio fahamika usiku wa manane hali iliyo pelekea amami kutoweka miongoni mwa raia


Post a Comment

Previous Post Next Post