jeshi la polisi lakanusha uvumi uliopo mitaani unao wahusisha askari wake na vyeti bandia
msemaji wa polisi amekanusha na amesema wanamtafuta anae eneza taarifa hizo za uwongo
pia polisi imesema ikimbaini anae toa taarifa hizo atakabiriwa na adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine
Tags
Kitaifa