baada ya baadhi ya timu kuanza kumnyemelea kocha wa chelsea antonio conteh amesema hafikilii kuhama clabuni hapo kwa sasa
kocha huyo kaiwezesha chelsea kuwa mabingwa EPL kwa mwaka huu wa 2016-2017 amesema anatamani mwakani kuwa bingwa tena na chelsea
kocha huyo ambae alisha wai kuifundisha juventus kabla ya kuondoka amekuwa na mafanikio darajani na kuwa kipenzi cha chelsea
miongoni mwa club zinazo mfukuzia ni pamoja na timu yake ya zamani ya juventus ambayo imemwahidi donge nono endapo ata kubari kujiunga na wao kwa mara nyingine
Tags
Michezo